Mchezo wa kuinuana kiuchumi ulinisaidia kurejesha biashara yangu – na wewe unaweza kufanya zaidi! Nilishiriki mchezo wa kuinuana kiuchumi kwa mara ya ... Read more
Nivushe Loan - Mkopo Rahisi, Mahsusi Kwa Ajili Yako
- By Admin
- 19 - September - 2025
ShinePortal Microfinance tumekuletea mkopo wa uhakika, haraka na rahisi - Nivushe Loan kupitia simu yako ya mkononi.
Mkopo huuu ni maalumu kwa ajili ya kuwasaidia watu binafsi, wafanyakazi, wafanyabiashara wadogo na wa kati nchi nzima.
Kiasi Cha Mkopo
- Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 50,000 na
- Kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000
- Kwa waombaji wote wanaorejesha mkopo wao kwa wakati, kuna fursa ya kuongezewa kiwango cha mkopo hadi kufikia TZS 5,000,000 katika maombi yao yanayofuata. Hii ni njia ya kutambua na kuthamini uaminifu na uwajibikaji wa mwombaji.
Faida Za Mkopo Wetu
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana ya mali inayohitajika kwani ajira yako ndiyo dhamana yako.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa Za Mwombaji
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho au namba ya kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu au bank account inayotumika kupokea pesa
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Muda Wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 90 - miezi mitatu
- Unaweza kurejesha kidogo kidogo kwa kiasi unachomudu ndani ya muda wa mkopo ambao ni miezi sita au ukalipa mkopo wote kwa mara moja siku yoyote kabla ya muda wa marejesho kuisha.
- Hii inamaanisha haujazwi presha ya kulipa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja — unalipa kwa namna inayoendana na kipato chako.
- Lengo letu ni kuhakikisha unapata mkopo, unautumia vizuri, na unaurejesha kwa utulivu bila kukwamishwa na masharti magumu.
- Marejesho yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
Mikopo tunayotoa haihitaji dhamana ya mali kama ilivyo katika taasisi nyingi za kifedha. Hii inamaanisha hutohitajika kuweka mali zako binafsi kama dhamana, mfano:
- ● Shamba
- ● Nyumba
- ● Gari
- ● Hati ya ardhi
- ● Samani au vifaa vya nyumbani
Badala yake, mkopaji atahitajika kufungua akaunti ya akiba iliyoundwa katika mfumo wa mchezo na ndiyo ambayo itatumika kama dhamana ya mkopo. Akaunti hii itasaidia kudhibiti uaminifu wa mkopaji na kuhakikisha marejesho ya mkopo yanafanyika kwa usahihi.
Riba Na Gharama Za Mkopo
- Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa na
- Gharama za mkopo - Loan Management/Processing Fees ni TZS 4,000
Kwa kuwasilisha maombi ya mkopo kupitia ShinePortal, unakubali na kuidhinisha vigezo na masharti yafuatayo:-
-
Uhalali wa Mkopo
- ● Mkopo hutolewa kwa mtu binafsi pekee na si kwa vikundi au taasisi.
-
Ushiriki Katika Huduma ya Akiba
- ● Ni lazima kila mwombaji wa mkopo ashiriki katika huduma yetu ya akiba iliyo katika mfumo wa mchezo.
- ● Huduma hii ya akiba ndiyo itatumika kama dhamana ya mkopo wako. Kukosa kushiriki moja kwa moja kunasababisha maombi ya mkopo kutokukubaliwa au mkopo uliopo kufutwa.
-
Masharti ya Malipo na Marejesho
- ● Mkopo unapaswa kurejeshwa kwa muda uliopangwa bila kucheleweshwa.
- ● Kukosa kulipa kwa wakati kutasababisha ongezeko la ada ya ucheleweshaji (late fee), pamoja na hatua nyingine za kisheria au kiutawala kulingana na taratibu za ShinePortal.
-
Ada na Gharama
- ● Gharama zote za usimamizi na uendeshaji wa mkopo (Loan Management/Processing Fee) hulipwa na mkopaji mwenyewe kabla au wakati wa kuidhinishiwa mkopo.
-
Akaunti ya Akiba
- ● ShinePortal inahifadhi haki ya kubadili au kusasisha aina ya akaunti ya akiba (saving account) au mfumo wa mchezo unaotumika kama dhamana, kulingana na sera na taratibu zetu za ndani.
- ● Kiasi na kiwango cha ushiriki katika saving kitatajwa rasmi na lazima kifuate masharti yaliyowekwa.
-
Marekebisho ya Vigezo
- ● ShinePortal ina haki ya kubadilisha, kusasisha, au kuongeza vigezo hivi bila taarifa ya moja kwa moja kwa kila mteja. Hata hivyo, mabadiliko yoyote yatawekwa wazi kupitia njia zetu rasmi za mawasiliano.
-
Uzingatiaji wa Kisheria
- ● Kwa kuomba na kutumia mkopo huu, mkopaji anakubali kufuata sheria na kanuni zote za kifedha na kisheria zinazotambulika katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


