REGISTRATION AGENT
- Dead Line: 2026-07-31
Mahali:
Dar es Salaam
Mshahara:
TZS 500,000 kwa mwezi
Tunahitaji Registration Agent mwenye uwezo wa kusajili taarifa za wateja kwa usahihi.
Majukumu:
- Kusajili taarifa za wateja kwenye mfumo
- Kuhakikisha taarifa zinaingizwa kwa usahihi
- Kusaidia wateja kujaza fomu mbalimbali
- Kutunza kumbukumbu za usajili
Sifa za Mwombaji:
- Kidato cha IV au zaidi
- Uwezo mzuri wa kutumia simu au kompyuta
- Makini na mwenye umakini kwenye taarifa
Uko Hatua Moja Tu Kukamilisha Usajili Wako
Hongera! Umefikia hatua ya mwisho ya kukamilisha usajili wako kwenye Mfumo wa Huduma za Masoko ya Ajira wa ShinePortal . Ili kuendelea na maombi yako na kunufaika na huduma mbalimbali za usaidizi wa ajira, unahitajika kujiunga na mfumo huu kwa ada ya TZS 4,999 kwa mwezi.
Ofa Maalum ya Muda Mfupi (Masaa 24)
Bei halisi ya kutumia Mfumo wa Huduma za Masoko ya Ajira wa Shine Portal ni TZS 30,000 kwa mwezi. Kwa sasa, tunatoa ofa maalum ya kujiunga kwa TZS 4,999 tu kwa mwezi.
Muda wa Ofa
Ofa hii ni ya muda mfupi na itadumu kwa masaa 24 kuanzia sasa. Baada ya muda huo kumalizika, bei ya kawaida ya mfumo itarejea.
Sababu ya Ofa Hii
Ofa hii imewekwa ili kuwapa vijana wengi zaidi fursa ya kujiunga na kutumia huduma za usaidizi wa ajira kwa gharama nafuu, ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalamu, uboreshaji wa CV, usaili wa awali na upatikanaji wa fursa za kazi kupitia mfumo wetu.
Lengo kuu ni kuongeza upatikanaji wa huduma hizi kwa vijana wengi zaidi na kuwasaidia kushiriki kikamilifu katika soko la ajira kupitia mfumo wa Shine Portal.
Ukiwa Mtumiaji wa Mfumo Utapata:
- Huduma za usaidizi wa kutuma maombi ya nafasi za kazi zinazopatikana kupitia mfumo wetu.
- Taarifa za nafasi mpya za kazi na fursa mbalimbali zinazolingana na sifa zako.
- Ushauri na mwongozo wa kitaalamu kuhusu maombi ya kazi na maendeleo ya taaluma.
- Tathmini ya wasifu wako (CV) na usaili wa awali (Pre-Screening).
- Fursa ya kuwasilishwa au kuunganishwa na waajiri kulingana na sifa na mahitaji yaliyopo.
- Ufuatiliaji wa maombi yako na msaada katika hatua mbalimbali za mchakato wa ajira.
Ada Hii Inagharamia Nini?
Ada hii hutumika kugharamia uendeshaji wa mfumo na huduma mbalimbali zinazotolewa kwa watumiaji, ikiwa ni pamoja na:
- Usimamizi wa maombi ya kazi.
- Uchakataji na tathmini ya wasifu wa waombaji.
- Ushauri na mwongozo wa ajira.
- Usaili wa awali na huduma za ufuatiliaji.
- Kuwasilisha na kuwaunganisha waombaji na waajiri kulingana na fursa zinazopatikana.
Ada ya Kujiunga na Mfumo
Ni TZS 4,999 tu kwa mwezi.
Njia za Malipo
Malipo ya ada ya kujiunga na Mfumo wa Huduma za Masoko ya Ajira wa Shine Portal hufanyika moja kwa moja kupitia mfumo wetu kwa kutumia njia salama za malipo zilizowekwa. Tunapokea malipo kupitia:
- M-Pesa
- Airtel Money
- Tigo Pesa
- HaloPesa
Muhimu Kufahamu Kuhusu Malipo
- Malipo yote hufanyika kupitia mfumo rasmi wa Shine Portal pekee.
- Hatupokei malipo ya fedha taslimu (cash).
- Hatupokei malipo yanayofanyika nje ya mfumo wetu au kupitia akaunti binafsi za watu.
- Tafadhali fuata maelekezo ya malipo utakayopewa ndani ya mfumo ili kuhakikisha usalama wa muamala wako.
- Baada ya malipo kuthibitishwa, akaunti yako itawezeshwa na utaendelea na hatua zinazofuata za usajili.
Tahadhari: Shine Portal haitawajibika kwa malipo yatakayofanywa nje ya mfumo rasmi au kupitia akaunti binafsi za watu. Tafadhali hakikisha unafanya malipo kupitia mfumo rasmi wa Shine Portal pekee.
Baada ya Kukamilisha Malipo
- Akaunti yako ya mfumo itawezeshwa.
- Utaweza kutumia huduma zote zinazopatikana kupitia mfumo.
- Utaendelea na hatua zinazofuata za maombi yako na kupata huduma za usaidizi wa ajira.
Unahitaji Msaada?
Iwapo utakutana na changamoto yoyote wakati wa usajili, kuingia kwenye akaunti yako au kufanya malipo kupitia mfumo, tafadhali wasiliana na Kitengo cha Huduma kwa Wateja kwa msaada na maelekezo zaidi.
Call/WhatsApp: 0765699269
Kumbuka: Kitengo cha Huduma kwa Wateja hutoa msaada wa matumizi ya mfumo pekee na hakipokei malipo kwa niaba ya Shine Portal. Malipo yote yanapaswa kufanyika kupitia mfumo rasmi wa Shine Portal.
Muhimu Kufahamu
- Mfumo wa Huduma za Masoko ya Ajira wa Shine Portal umeundwa kuwasaidia waombaji wa kazi kupata huduma za kitaalamu za ajira na kufikia fursa mbalimbali za kazi.
- Ada ya mfumo ni kwa ajili ya huduma zinazotolewa na si malipo ya nafasi ya kazi.
- Kujiunga na mfumo hakuhakikishi kupatikana kwa ajira au kuchaguliwa na mwajiri, kwani maamuzi ya mwisho hufanywa na mwajiri kulingana na vigezo vyake.
- Kutokana na idadi kubwa ya waombaji, tunashauri ukamilishe usajili wako mapema ili usikose fursa zinazopatikana kupitia mfumo.
Endelea na Usajili Wako
Bonyeza "Continue" ili kuingia (login) kwenye akaunti yako kama tayari unayo au kufungua (create) akaunti mpya ikiwa hauna, kisha uendelee na malipo ya ada ya kujiunga na Mfumo wa Huduma za Masoko ya Ajira wa Shine Portal na kukamilisha usajili wako.