Alipokea mkopo wa TZS 470,000 na baada ya kurejesha akapokea savings zake TZS 780,000 – leo anamiliki jokofu ambalo analitumia kwa ajili ya kutunzia m... Read more
Unahitaji Mkopo? Tunao!
- By Admin
- 05 - October - 2025
Pata mkopo wenye riba nafuu na usiohitaji dhamana ya mali kama vile nyumba, shamba, gari au hati ya ardhi.
Mkopo wa hadi TZS 1,000,000 kupitia simu yako ya mkononi ndani ya dk 30 tu popote ulipo ndani ya Tanzania!
Mikopo yote inashughulikiwa ndani ya saa 24, kwa wastani tunashughulikia mikopo yote chini ya dakika 30 na tunatarajia kupunguza dakika chache zaidi!
Kupata mkopo huu ni rahisi sana, unaweza kukidhi vigezo vya mkopo kama unasifa zifuatazo;-
- Uwe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18+ na kuendelea
- Namba ya kitambulisho cha Nida au Kadi ya mpiga kura au Leseni ya udereva
- Namba ya simu ya mtandao wa Yas , Airtel, Halotel au Vodacom iliyosajiliwa kwa kitambulisho chako
Umejionea urahisi wake?
Usiache nafasi ipite!
Bofya neno “Mkopo” ili uweze kutuma maombi yako na kupokea mkopo wako leoleo! Dakika chache tu, pesa mkononi!
ChapChap Loan
Tunakopesha kwa imani, si dhamana!