Umewahi fikiria akiba ya TZS 5,000 pekee inakuwezesha kupata faida ya hadi TZS 450,000 pamoja na sifa za kupata mkopo wa hadi TZS 1,000,000 kila mwezi... Read more
Wakala Loan - Mafanikio Ya Wakala Wetu Ndio Kipaumbele Chetu
- By Admin
- 19 - September - 2025
ShinePortal Microfinance tumezindua huduma mpya ya mkopo - Wakala Loan kiasi cha TZS 150,000 ikiwa ni maalumu kwa ajili ya mawakala wapya ili kuhakikisha kila wakala anaingia kazini bila changamoto za kifedha.
Faida za Mkopo Huu
- Unakupa nafasi ya kuanza kazi ukiwa huru kifedha.
- Malipo ya marejesho ni nafuu na yanaendana na kipato chako.
- Ni sehemu ya kuimarisha uhusiano kati ya mfanyakazi na ShinePortal Group.
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana inayohitajika, ajira yako ya uwakala ndiyo dhamana yako.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa au Airtel Money
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa za Mwombaji
- Uwe Wakala mpya unayeanza kazi
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu au akaunti ya bank inayotumika
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Kiasi cha Mkopo
TZS 150,000
Riba
Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa na Loan Management Fee/Processing Fee ni TZS 4,000
Muda wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 90 (miezi mitatu)
- Malipo yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au benki.
Kwa kuwasilisha maombi ya mkopo kupitia ShinePortal, unakubali na kuidhinisha vigezo na masharti yafuatayo:-
-
Uhalali wa Mkopo
- ● Mkopo hutolewa kwa mtu binafsi pekee na si kwa vikundi au taasisi.
-
Ushiriki Katika Huduma ya Akiba
- ● Ni lazima kila mwombaji wa mkopo ashiriki katika huduma yetu ya akiba iliyo katika mfumo wa mchezo.
- ● Huduma hii ya akiba ndiyo itatumika kama dhamana ya mkopo wako. Kukosa kushiriki moja kwa moja kunasababisha maombi ya mkopo kutokukubaliwa au mkopo uliopo kufutwa.
-
Masharti ya Malipo na Marejesho
- ● Mkopo unapaswa kurejeshwa kwa muda uliopangwa bila kucheleweshwa.
- ● Kukosa kulipa kwa wakati kutasababisha ongezeko la ada ya ucheleweshaji (late fee), pamoja na hatua nyingine za kisheria au kiutawala kulingana na taratibu za ShinePortal.
-
Ada na Gharama
- ● Gharama zote za usimamizi na uendeshaji wa mkopo (Loan Management/Processing Fee) hulipwa na mkopaji mwenyewe kabla au wakati wa kuidhinishiwa mkopo.
-
Akaunti ya Akiba
- ● ShinePortal inahifadhi haki ya kubadili au kusasisha aina ya akaunti ya akiba (saving account) au mfumo wa mchezo unaotumika kama dhamana, kulingana na sera na taratibu zetu za ndani.
- ● Kiasi na kiwango cha ushiriki katika saving kitatajwa rasmi na lazima kifuate masharti yaliyowekwa.
-
Marekebisho ya Vigezo
- ● ShinePortal ina haki ya kubadilisha, kusasisha, au kuongeza vigezo hivi bila taarifa ya moja kwa moja kwa kila mteja. Hata hivyo, mabadiliko yoyote yatawekwa wazi kupitia njia zetu rasmi za mawasiliano.
-
Uzingatiaji wa Kisheria
- ● Kwa kuomba na kutumia mkopo huu, mkopaji anakubali kufuata sheria na kanuni zote za kifedha na kisheria zinazotambulika katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikiwa unahitaji mkopo huu basi bonyeza neno “Apply Now” hapa chini ili uwe miongoni mwa watu watakaopokea mkopo leo!

