Sasa ni rasmi mawakala wote wapya wanaweza kuchukua mkopo wa TZS 150,000 ili kuhakikisha kila wakala anaingia kazini na kuanza kazi bila changamoto zo... Read more
List Of Successful Candidates
- By Admin
- 04 - January - 2026
Baada ya kupitia maombi na kufanya tathmini, waombaji wafuatao wamefanikiwa kuitwa kazini katika nafasi mbalimbali kama ifuatavyo:-
1. Loan Officer (Nafasi 4)
- John M. Msuya
- Asha R. Mwita
- Kelvin P. Joseph
- Neema S. Mhando
2. Cashier (Nafasi 3)
- Salma A. Hassan
- Patrick J. Lema
- Zainab M. Ally
3. Sales Officer (Nafasi 8)
- Emmanuel K. Mrema
- Rehema D. Kweka
- Abdallah I. Juma
- Glory P. Simon
- Frank O. Mbise
- Happiness R. Mushi
- Ally S. Hamza
- Prisca N. Charles
4. Data Entry Officer (Nafasi 3)
- Lucas B. Nkya
- Judith E. Mollel
- Said A. Bakari
5. Operations Manager (Nafasi 1)
- Victor H. Ndesamburo
6. HR Assistant (Nafasi 2)
- Agnes T. Kimaro
- Daniel R. Mgaya
7. Office Cleaner (Nafasi 3)
- Fatuma H. Selemani
- Joyce P. Ngowi
8. Security Guard (Nafasi 2)
- Juma A. Salum
- Hamis K. Shaaban
9. Legal Officer (Nafasi 1)
- Advocate Michael L. Nyoni
Menejimenti inapenda kuwataarifu waombaji wote wa ajira kuwa mchakato wa usaili kwa nafasi hizo 9 umekamilika isipokuwa kwa nafasi ya Customer Registration Agent usaili bado unaendelea.
- Tunapenda kuwajulisha kuwa bado kuna nafasi za 9 za Customer Registration Agent ambazo hazijajazwa.
- Hivyo waombaji wenye sifa na nia ya kujiunga nasi wanakaribishwa kutuma maombi yao sasa
Tunawapongeza wote waliofanikiwa na tunawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya. Karibu kazini!


