Alipokea mkopo wa TZS 470,000 na baada ya kurejesha akapokea savings zake TZS 780,000 – leo anamiliki jokofu ambalo analitumia kwa ajili ya kutunzia m... Read more
Wakala Wa Kusajili Wateja
- By Admin
- 20 - September - 2025
Je, unatafuta kazi yenye malipo mazuri, mafunzo ya kitaalamu, na nafasi ya kukua kitaaluma? Sasa ni wakati wako! Kampuni yetu ya ShinePortal inatafuta watu wenye ari, bidii, na hamu ya kufanikisha malengo yao.
Kama sehemu ya timu yetu, utafurahia:-
- Mshahara wa ushindani, TZS 500,000 kwa mwezi
- Mkopo wa ZS 150,000 kwa wakala mpya ili kukabiliana changamoto za kifedha za mwanzo kama kununua mahitaji ya msingi, usafiri, au vifaa vya kazi.
- Posho ya hadi TZS 3,500 kwa siku
- Fursa ya kukuza kipato na kuendeleza taaluma ndani ya kampuni.
- Mazingira bora ya kazi na msaada wa timu ya ShinePortal.
Usisubiri!
Jisajili sasa kwa kubofya neno "Signup Now" hapa chini ili uwe miongoni mwa watu watakaoajiriwa mwezi huu!