PATA TZS 1,000,000 CASH
ShinePortal Microfinance tumekuletea mkopo wa uhakika, haraka na rahisi - ChapChap Loan kupitia simu yako ya mkononi.
Mkopo huuu ni maalumu kwa ajili ya kuwasaidia watu binafsi, wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo wadogo nchi nzima.
Kiasi Cha Mkopo
- Kiwango cha chini cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 150,000 na
- Kiwango cha juu cha mkopo tunachokopesha kwa sasa ni TZS 1,000,000
- Kwa waombaji wote wanaorejesha mkopo wao kwa wakati, kuna fursa ya kuongezewa kiwango cha mkopo hadi kufikia TZS 3,000,000 katika maombi yao yanayofuata. Hii ni njia ya kutambua na kuthamini uaminifu na uwajibikaji wa mwombaji.
Faida Za Mkopo Wetu
- Mchakato wa haraka, rahisi, na wa uwazi.
- Hakuna dhamana ya mali inayohitajika kwani ajira yako ndiyo dhamana yako.
- Fedha zinapatikana ndani ya masaa 24 moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
- Uwezo wa kupata mikopo zaidi baada ya kulipa mkopo wa kwanza kwa wakati.
Sifa Za Mwombaji
- Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Uwe na kitambulisho au namba ya kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, au Leseni ya Udereva)
- Uwe na namba ya simu au bank account inayotumika kupokea pesa
- Uwe na rekodi nzuri ya urejeshaji wa mikopo
Muda Wa Marejesho
- Mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya siku 30 - 365 (mwezi 1 hadi miezi 12)
- Unaweza kurejesha kidogo kidogo kwa kiasi unachomudu ndani ya muda wa mkopo ambao ni miezi sita au ukalipa mkopo wote kwa mara moja siku yoyote kabla ya muda wa marejesho kuisha.
- Hii inamaanisha haujazwi presha ya kulipa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja — unalipa kwa namna inayoendana na kipato chako.
- Lengo letu ni kuhakikisha unapata mkopo, unautumia vizuri, na unaurejesha kwa utulivu bila kukwamishwa na masharti magumu.
- Marejesho yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa, T-Pesa au benki.
Riba Na Gharama Za Mkopo
- Riba ya mkopo ni 10% ya kiasi kilichoazimwa na
- Gharama za mkopo - (loan management/processing fee) ni TZS 2,000

Kwa kuzingatia umuhimu wa uwazi na kulinda maslahi ya wateja wetu wote, tunakujulisha kuwa mfumo wetu wa mikopo umeboreshwa kutokana na changamoto kubwa iliyojitokeza ya:-
- Baadhi ya wateja wasio waaminifu kutokufanya kabisa marejesho ya mikopo yao na
- Baadhi ya wateja wanaorejesha kutorejesha mikopo yao kwa wakati
Hivyo tumeona ni muhimu kufanya maboresho katika mfumo wetu wa utoaji mikopo ili kulinda maslahi ya wateja wetu wote na kuendeleza uendelevu wa huduma zetu kwa kuzingatia:-
- Sheria ya Microfinance Act, 2018
- Kanuni za BoT (Digital & Microfinance Lending)
- Pamoja na kanuni za Consumer Protection
Hata hivyo mikopo yetu bado haina haja ya dhamana ya mali (mfano: nyumba, shamba, gari au hati ya ardhi). Badala yake, dhamana ni akaunti yako ya mchezo ambayo utaifungua ndani ya mfumo. Kupitia akaunti hii ya mchezo, tunaona:-
- Historia ya akiba ya mteja
- Uwezo wa mteja kurejesha mkopo
- Nidhamu na mtiririko wa fedha (savings flow)
- Kiwango salama cha mkopo kinachofaa mteja bila kumlemea
Jinsi Ya Kutuma Maombi
- Uta Login kwenye akaunti yako kama tayari una akaunti au
- Uta Create akaunti kama bado huna akaunti
Kumbuka,
- Nambari ya simu utakayotumia kufungua akaunti ndiyo itakayotumika kukutumia majibu ya maombi yako kwa SMS au simu, hivyo hakikisha unaweka nambari sahihi na inayopatikana.
- Tengeneza password utakayoikumbuka, kwani utaitumia kila unapologin kwenye akaunti yako.
- Hakikisha password yako ina character 8 au zaidi
Mwombaji anashauriwa kusoma masharti na sera zetu kamili kabla ya kuendelea na maombi yake. Kwa kuwasilisha maombi ya mkopo kupitia ShinePortal, mkopaji anakubali kufuata sheria na kanuni zote za kifedha zinazotambulika katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.