Customer Registration Agent
- Dead Line: 2026-06-30
Nafasi
Customer Registration Agent
Idadi
14
Kampuni
ShinePortal Group
Eneo la Kazi
Tanzania Bara na Visiwani
Faida za Kuwa Customer Registration Agent wa ShinePortal
- Mshahara: TZS 500,000 kwa mwezi
- Mkopo: TZS 150,000 kwa CR Agent mpya ili kukabiliana changamoto za kifedha za mwanzo kama kununua mahitaji ya msingi, usafiri, au vifaa vya kazi.
- Posho: TZS 3,500 kwa siku
- Fursa ya kukuza kipato na kuendeleza taaluma ndani ya kampuni.
- Mazingira bora ya kazi na msaada wa timu ya ShinePortal.
Sifa za Mwombaji
Customer Registration Agent anatakiwa awe na:-
- Angalau elimu ya Kidato cha Nne (Form 4) au zaidi
- Uwezo mzuri wa mawasiliano kwa Kiswahili (Kiingereza ni nyongeza).
- Nidhamu, uaminifu, bidii na uwezo wa kushirikiana na watu.
- Uwezo wa kufanya kazi kwa malengo (target-based).
- Uzoefu katika kazi za mauzo au huduma kwa wateja ni faida lakini sio sharti.
Majukumu ya Kazi
Customer Registration Agent atawajibika:-
- Kusajili wateja wapya kwenye mfumo wa kampuni.
- Kuthibitisha taarifa na malipo ya wateja kabla ya kuanzisha akaunti zao.
- Kufuatilia wateja wanaochelewa kukamilisha usajili.
- Kutoa maelezo sahihi kuhusu huduma za kampuni.
- Kulinda taswira na heshima ya kampuni wakati wote.
Mshahara Na Motisha
- Mshahara wa msingi ni TZS 500,000 kwa mwezi
- Mshahara huu unajumuisha bonasi na/au posho kwa kuzingatia uzoefu na ujuzi wa mwombaji pamoja na kiwango cha matokeo ya kazi kama itakavyoainishwa kwenye mkataba rasmi wa ajira
NOTE
Tunatafuta vijana wenye nia ya kufanya kazi na kubadilisha maisha yao, hata kama huna uzoefu mkubwa — tunakupa nafasi ya kuanza.
Jinsi Ya Kutuma Maombi
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
kisha:-
- Uta Login kwenye akaunti yako kama tayari una akaunti au
- Uta Create akaunti kama bado huna akaunti
Kumbuka,
- Nambari ya simu utakayotumia kufungua akaunti ndiyo itakayotumika kukutumia majibu ya maombi yako kwa SMS au simu, hivyo hakikisha unaweka nambari sahihi na inayopatikana.
- Tengeneza password utakayoikumbuka, kwani utaitumia kila unapologin kwenye akaunti yako.
- Hakikisha password yako ina character 8 au zaidi
Baada ya kulogin au kucreate akaunti, tafadhali rudi tena katika ukurasa huu na ubofye tena kitufe cha CONTINUE, ili uweze kujaza fomu ya maombi na kutuma ombi lako.