Office Cleaner
- Dead Line: 2026-04-30
Nafasi
Office Cleaner
Idadi
3
Kampuni
ShinePortal Group
Location
P.O.Box 12116
Tabata Kinyerezi, Ilala
Dar Es Salaam, Tanzania
Sifa Za Mwombaji
- Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha Nne au zaidi
-
Awe msafi, mwenye bidii na nidhamu
-
Awe na afya njema na uwezo wa kufanya kazi za usafi
-
Awe tayari kufanya kazi kwa kufuata maelekezo
Majukumu Ya Kazi
- Kufanya usafi wa ofisi na maeneo ya kazi
- Kufuta vumbi na kusafisha sakafu, madirisha na samani
- Kutupa taka na kuhakikisha mazingira ni safi
- Kuripoti hitilafu au uharibifu wowote ofisini
- Kuhakikisha vifaa vya usafi vinatunzwa vizuri
Mshahara Na Motisha
- Mshahara wa msingi ni TZS 300,000 kwa mwezi
- Mshahara huu unajumuisha bonasi na/au posho kwa kuzingatia uzoefu na ujuzi wa mwombaji pamoja na kiwango cha matokeo ya kazi kama itakavyoainishwa kwenye mkataba rasmi wa ajira
Jinsi Ya Kutuma Maombi
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
kisha:-
- Uta Login kwenye akaunti yako kama tayari una akaunti au
- Uta Create akaunti kama bado huna akaunti
Kumbuka,
- Nambari ya simu utakayotumia kufungua akaunti ndiyo itakayotumika kukutumia majibu ya maombi yako kwa SMS au simu, hivyo hakikisha unaweka nambari sahihi na inayopatikana.
- Tengeneza password utakayoikumbuka, kwani utaitumia kila unapologin kwenye akaunti yako.
- Hakikisha password yako ina character 8 au zaidi
Baada ya kulogin au kucreate akaunti, tafadhali rudi tena katika ukurasa huu na ubofye tena kitufe cha CONTINUE, ili uweze kujaza fomu ya maombi na kutuma ombi lako.