Sales Person
- Dead Line: 2026-04-30
Nafasi
Sales Person
Idadi
8
Kampuni
ShinePortal Group
Location
P.O.Box 12116
Tabata Kinyerezi, Ilala
Dar Es Salaam, Tanzania
Sifa Za Mwombaji
- Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha Nne au zaidi
-
Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza na kushawishi wateja
-
Awe mchangamfu, mwenye kujiamini na mwenye nidhamu
-
Awe tayari kufanya kazi kwa malengo (targets)
-
Uzoefu wa mauzo utapewa kipaumbele
Majukumu Ya Kazi
- Kutangaza na kuuza bidhaa au huduma za kampuni
- Kuhudumia wateja na kuwapa maelezo sahihi ya bidhaa/huduma
- Kufuatilia wateja wapya na waliopo
- Kufikia malengo ya mauzo yaliyowekwa
- Kuandaa ripoti za mauzo kila siku au kila wiki
Mshahara Na Motisha
- Mshahara wa msingi ni TZS 450,000 kwa mwezi
- Mshahara huu unajumuisha bonasi na/au posho kwa kuzingatia uzoefu na ujuzi wa mwombaji pamoja na kiwango cha matokeo ya kazi kama itakavyoainishwa kwenye mkataba rasmi wa ajira
Jinsi Ya Kutuma Maombi
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
Kwa utaratibu wa kupokea maombi ya kazi, maombi yote hutumwa kupitia akaunti ya mwombaji. Ili kuendelea, utabofya kitufe cha CONTINUE hapo chini na
kisha:-
- Uta Login kwenye akaunti yako kama tayari una akaunti au
- Uta Create akaunti kama bado huna akaunti
Kumbuka,
- Nambari ya simu utakayotumia kufungua akaunti ndiyo itakayotumika kukutumia majibu ya maombi yako kwa SMS au simu, hivyo hakikisha unaweka nambari sahihi na inayopatikana.
- Tengeneza password utakayoikumbuka, kwani utaitumia kila unapologin kwenye akaunti yako.
- Hakikisha password yako ina character 8 au zaidi
Baada ya kulogin au kucreate akaunti, tafadhali rudi tena katika ukurasa huu na ubofye tena kitufe cha CONTINUE, ili uweze kujaza fomu ya maombi na kutuma ombi lako.